Sun Wukong
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 1,159
- 2,309
Hii ni yapaka au?Tuanze weekend.View attachment 2545196
MhhhhhHayo ni majini hayo muda mwingine yanakuongoza vizuri mm zamani yalikuwa yananisaidia mfano naweza sema nikipita mtaa huu nikipita nitaokota hela na kweli naokota hela katika Maisha imenitokea kama mara tatu sehemu ile ile niliyokuwa naiwaza nikiwa mdogo ila siku hizi huu upako sina ๐๐
Kapachino Mungu ampe nini leoNakuja nakujaaa chap hapo ๐๐!
Ishi Sana, mwizi mwenzagu National Anthem๐๐๐๐ haya aunt yangu kipenzi View attachment 2545024
Aisee we mwizi anaye chipukia National Anthem taratibu sasa, maana mdogo ake Cha ukorofii Lovelovie hachelewi kuja kukupigaa kisa sister mawigi Antonnia๐ซก๐ซก๐ซก๐ซก aunt wanguuu huyooo mzuri sanaaa lips hizo ๐๐ jicho ilooo ๐๐๐ langi ya pure gold
๐๐๐Aisee we mwizi anaye chipukia National Anthem taratibu sasa, maana mdogo ake Cha ukorofii Lovelovie hachelewi kuja kukupigaa kisa sister mawigi Antonnia
Nisameheee sikujua uko macho๐๐๐๐๐
We emoji hizo za mshangao vepeee๐๐๐๐
๐ ๐ kuishi sana kuiba sana na kuwa tajiri sanaaa kauli mbiuIshi Sana, mwizi mwenzagu National Anthem
๐ ๐ Niambie mzee mwenzangu.. harakati zinaendaje hukoHongera kwa kuachiwa Mkuu.
Linaza bado ipoHahaha twenzetu linaz pale ama!!
Mimi ndo nashuka kwenye huu mteremko mkali wa hamgembe
Za kushangaa ndioWe emoji hizo za mshangao vepeee๐
Morning selfika!!
Goat hair Lol ๐๐๐๐!!
Niko poa BLGoat hair Lol [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]!!
Habari za uzima Msukuma!!!
hahaha