Tukio limejirudia tena katika mazingira yaleyale, nikiwa na watu walewale huku tukizungumza maneno yaleyale

Tukio limejirudia tena katika mazingira yaleyale, nikiwa na watu walewale huku tukizungumza maneno yaleyale

Hilo ni tatizo la akili ( psychiatric problem) inaweza kuwa ni


Dejavu au Jamais vu
 
Hayo ni majini hayo muda mwingine yanakuongoza vizuri mm zamani yalikuwa yananisaidia mfano naweza sema nikipita mtaa huu nikipita nitaokota hela na kweli naokota hela katika Maisha imenitokea kama mara tatu sehemu ile ile niliyokuwa naiwaza nikiwa mdogo ila siku hizi huu upako sina 😁😁
 
Hayo ni majini hayo muda mwingine yanakuongoza vizuri mm zamani yalikuwa yananisaidia mfano naweza sema nikipita mtaa huu nikipita nitaokota hela na kweli naokota hela katika Maisha imenitokea kama mara tatu sehemu ile ile niliyokuwa naiwaza nikiwa mdogo ila siku hizi huu upako sina
We jamaa nimekuamini. Mi nilikua nikitamani kitu lazima nikipate hata kwakuokota tu.
 
NAONA una shida kidogo kwenye muungano wa roho yako na mwili wako, io hali inapelekea mwili wako kupata dodoso za mambo ya Rohoni na haikupaswa iwe hivyo...
Inashangaza na kuogofya mkuu. Sasa siku tatu juu ya mlima, sintokutana na kitu cha kutisha kweli! Na je, ni lazima niwe peke yangu uko? Na nikipuuzia, kipi kinaweza nikuta katika haya maisha?
 
We jamaa nimekuamini. Mi nilikua nikitamani kitu lazima nikipate hata kwakuokota tu.
Mtu anweza sema tunadanganya ila mm ilinitokea kama mara tatu hiyo hali tena mara mwisho sikumbuki mwaka gani niliokota noti ya 5 ile ila sasa hivi sina haya maono kama zamani yaan nafikiria sehemu nikienda inakuwa vile vile sana sana mm imenitokea ktk pesa tu kuna siku ulikuja upepo mkali hisia zikaniambia unakumbuka nenda mpk mtaa ule utapata utaokota hela nikaenda na kuokota hela kama ile sehemu naijua
 
Back
Top Bottom