Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] rangii ya mtume halisi haionekani hovyooo, labda unataka inayotokana jiki ya buku kwa jero pale Mwembe Yanga.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu nalalaa, kesho shambani kuvuna mahindii, famchezo nn??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ongeza sautiiiiii

Usilale bana selfika, nitamwambia mtu akutumie pesa ya kuvuna kesho
 
Unashangaa huyu wana mzunguzmia mie au ni mtu mwingine.. unakuwa confused... mtu hujawai hata onana nae, na unakuta kuna watu wana mjua humu na kumuheshimu unaunganishwa nae kwenye tela.. wengine wana ndoa zao na familia zao.. unaunganishwaa.. likatokea la kutokea inakuwa tafrani tupu.. kweli JF wengi hawana kazi nimeamini ndio maana unakuta mtu yupo humu 24/7 ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Kwani majobless kosa letu nini๐Ÿคฃ
Sijapenda
 
Unashangaa huyu wana mzunguzmia mie au ni mtu mwingine.. unakuwa confused... mtu hujawai hata onana nae, na unakuta kuna watu wana mjua humu na kumuheshimu unaunganishwa nae kwenye tela.. wengine wana ndoa zao na familia zao.. unaunganishwaa.. likatokea la kutokea inakuwa tafrani tupu.. kweli JF wengi hawana kazi nimeamini ndio maana unakuta mtu yupo humu 24/7 ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Yaani humu ukishamuwekea member imoj๐Ÿ˜โค๏ธ Kuna watu wanaenda tengeneza story huko jamanii tayari fulani na fulani wamekulana๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ™†๐Ÿพโ€โ™€๏ธ
Gombana na mtu jukwaani sasa hata kama hakujui atadanganya nakujua mpaka figo zako ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ongeza sautiiiiii

Usilale bana selfika, nitamwambia mtu akutumie pesa ya kuvuna kesho
Hebu muambie atume kabisaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee usitakee kesho niumbukeee, akuuuu.
 
Halafu mtu anakuja nyenyenyeeee nakujua sijui ni single maza sijui una gono, pambafuuuu.
Leo yuko wapi๐Ÿ˜’
Niko hapa Darlin ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜.

Umeamua uyamwage sio ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Deal done najua imekugusa ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ embu lamba lolo ulale

Totoo na shingo yako hiyo
 
Usiku mwema jaman muwasalimie shemeji zetu uko walipo
4C569833-376A-49CC-AC65-15A5B9799903.png
 
Back
Top Bottom