Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Wala msianza kufichaficha huyo ni penseli pamoja na ndugu yake cocastic. Huu uoga wenu wa kutowataja ndio unafanya hawaachi hii tabiaYaani humu ukishamuwekea member imoj[emoji7][emoji3590] Kuna watu wanaenda tengeneza story huko jamanii tayari fulani na fulani wamekulana[emoji16][emoji16][emoji2304]
Mnachekesha ๐๐Unashangaa huyu wana mzunguzmia mie au ni mtu mwingine.. unakuwa confused... mtu hujawai hata onana nae, na unakuta kuna watu wana mjua humu na kumuheshimu unaunganishwa nae kwenye tela.. wengine wana ndoa zao na familia zao.. unaunganishwaa.. likatokea la kutokea inakuwa tafrani tupu.. kweli JF wengi hawana kazi nimeamini ndio maana unakuta mtu yupo humu 24/7 ๐ ๐
๐ ๐ ๐ ๐ .. wanakutengeze movie kamili hadi namba ya chumba mlicho nalala na jina la hotel.. na siku ya kwenda kuchukua dose wanajua.. humu kuna vichwa panzi haswaaYaani humu ukishamuwekea member imoj๐โค๏ธ Kuna watu wanaenda tengeneza story huko jamanii tayari fulani na fulani wamekulana๐๐๐๐พโโ๏ธ
Tupo kwa shemeji ugali wa bure tukishiba hatuna cha kufanya ๐คฃ๐คฃ๐ ๐ ๐ mnahama tu PM kusambaza ubuyuuu ... twende shambani banaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya relaaaaaaxxxxxx !!Mmmh hizo nguvu za kuvuna uzitoe wapi
Afanye kazi zake mwenyeweBaby tukalale ๐๐
au kesho boss afanye kazi mwenyewe ๐๐
Hapo unatamani uwe kama yeye? Yani na wewe uwe na boobs, kiuno laini, tako, si ndio?Niko hapa Darlin [emoji52][emoji52][emoji52][emoji52].
Umeamua uyamwage sio [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Deal done najua imekugusa [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] embu lamba lolo ulale
Totoo na shingo yako hiyo
๐ ๐ ๐ mie sina kazi ila sio tea mazezeta .. wa kuhama PM to PM .. uzuri unajuaMnachekesha ๐๐
Wa 24/7 si unaanzaga na wewe ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Af kuna sisi tunafanya kazi play station
Tuko na desktop 24/7
Tuna bando
Wacha tukeshe ban
Wengine majobless tukiamka kitandani tunaenda kulala sebleni asa kwanini tusishinde Jf kupoteza mudaMnachekesha ๐๐
Wa 24/7 si unaanzaga na wewe ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Af kuna sisi tunafanya kazi play station
Tuko na desktop 24/7
Tuna bando
Wacha tukeshe ban
Nitumie mshikaji wangu wa faia ๐๐๐๐ voda washapiga kelelehuna vocha bana๐
Hebu muambie atume kabisaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee usitakee kesho niumbukeee, akuuuu.
Afadhali yamekukuta... then you will take back a look.๐ ๐ ๐ ๐ .. wanakutengeze movie kamili hadi namba ya chumba mlicho nalala na jina la hotel.. na siku ya kwenda kuchukua dose wanajua.. humu kuna vichwa panzi haswaa
Unajua nini bro, huyo kiumbe wala hata simjibuHapo unatamani uwe kama yeye? Yani na wewe uwe na boobs, kiuno laini, tako, si ndio?
Sasa si uende ukafanye surgery. Kuna wale shemales na tranny's mbona wao wameweza?
Aisee kama imaniyako ndogo unalia๐Dunia na walimwengu wake yaani Jf ina watu ukisikia vile wanaeneza uwongo na uzushi huko pm unaweza shika๐๐พโโ๏ธ
๐ ๐ ๐ kesho boss apambanie kombe lake ..Afanye kazi zake mwenyewe
Ajitimizie ndoto zake
๐คฃ๐คฃ
Una muiga mkeo!!!Wala msianza kufichaficha huyo ni nikki wa pili pamoja na ndugu yake mama zuri Huu uoga wenu wa kutowataja ndio unafanya hawaachi hii tabia
Unaweza shangaa watu wanakuogoapa... kumbe washakupakazia kuwa ni nyoma damu au kausha damu.. ๐ ๐ ๐ una supa malariaAisee kama imaniyako ndogo unalia๐
Em usimtukane shem darling wanguAfadhali yamekukuta... then you will take back a look.
Mkifanyiwa nyie mmesingiziwa
Wengine walifanya kweli
Nyoko zako babe... haya tukalale ๐๐
Humu bila kuwa kichwa ngumu ama uikimbie jf au uwe tajiri wa kubadilisha Id๐๐Aisee kama imaniyako ndogo unalia๐
Bana wee si miaka ile WhatsApp inaingiaingia, Kuna pisi moja ina sura kali sana kila nikiomba picha natumiwa sura tu nikasema huyu ndio enyewe yaniTuone km yaliyomo yamo sio kujikosha tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]