Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sikuwahi kuzifumania habari za kunihusu, isipokuwa leo.

Ila Vijana wajifunze kuwa na siri.

Mbona Sisi wazee tumeweza kutunza, imagine Babu yenu nilikuwa nafanya kazi kwenye Serikali ya wakoloni miaka ile lakini habari ya Kudai Uhuru wa Nchi wazungu wamekuja kuijua tayari tumepandisha Bendera Mlima Kilimanjaro.

Vijana wa sasa si wangemwambia Mzungu siku hiyo hiyo kuwa Wenye Tanganyika wanadai Uhuru wao ๐Ÿคช
Hata mie Nina files kibao humu tena za muda mrefu sana na za watu kibao!! Nashukuru Mungu sinaga huo muda ndiokwanza nacheka hadi na haoohaoo watu ambao unakuta anaenda kunipondea kujungua na kwa majina kabisa sinaga mudaaaaa!! Hao vijanaaaaa wenu babu ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ!!
 
Supastaa my Asssss ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š!

Sasa mtu mambo ya miaka 47 huko bado naandamwa mpaka leo mimi mbona wenzangu hawaandamwi na walikua wanaweka mahusiano yao wazi pia who Am I????
Nina nini cha ziada ??? ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ!!
Wanipumzishe kwakweli!
Hili tena la Grah mbona kuna jingine nilisikia kumuhusu Huyohuyo Grahams?
Na wengine kibao humu ??? humu kwanini wanitaje Mie tyuuuu????

Nyiee ๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ

Jf sihamiiiiii ๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ๐Ÿ•บ!

Kusanyeni mafile yenu vizuri muwe na data kamilii na sio za kupika!!
Kwa kweli
 
Sana tu sikulala aunt ila nikagundua ni ushamba tu wa watu wa hapa sijui yaliishaje naona tu napumua kama kawa ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Nasubiria file lakooo madamm ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿ˜‚!!

Nimekaaa palee ๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿค ๐Ÿค ๐Ÿค 
 
Back
Top Bottom