Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Hi ni zaidi ya ngumi ya one piece๐คฃUnamuumiza udugu wako
#kudate suala 1
Kuhongwa vinono suala lingine
๐๐๐
Hi ni zaidi ya ngumi ya one piece๐คฃUnamuumiza udugu wako
#kudate suala 1
Kuhongwa vinono suala lingine
๐๐๐
Umeona sasa unavyotapatapa hujui ushike lipi?? Unaanza kusingizia iphone kwani sele kakununulia simu gani??
Matumizi mabaya ya msambwandwa huo dada bonge ๐๐๐๐
Ww umetoka na mapedejee wa JF alafu bado unatumia itel kweli?? Aaaah udugu hapana hiyo haiko sawa hata kidogo ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Inamana hata yule mwanaume uliyesema coca kakuibia naye kashindwa kukunulia iphone?? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mkimaliza mtuambie chanzo cha mtafaruku wenuwachaa weeee ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ! Kweli uko supa toluuu na fuluuu mshepuuiii ndiooooo ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ! Danganya hao Makinda wenzio humu we know you veri welooooooo!
Namnaa hio uzi unanogaaaa sio kujadili ujinga ujinga tu !
Afu mbona picha nyingine uko pimbi nyingine toluuu ni zakoooo hizo kweli???
Iphone walichofanya Sijapentaaa haioneshi kama ni fb Instagram ama laah!
Kumbe inakuuma kuitwa kapinnchi?? Narudia tena mie sio bwanyenyeee bonge
Dah๐๐คฃIla humu mbona watu ni malimbukeni na ni washamba jamanii kumbe humu ni bora usijuane na mtu hii comment imejaa kinyaa na aibu.
Si umeona uliyotaka kuyajua jana nikakwambia ww tulia mahi mambo mazuri hayataki haraka ๐๐๐๐Ila humu mbona watu ni malimbukeni na ni washamba jamanii kumbe humu ni bora usijuane na mtu hii comment imejaa kinyaa na aibu.
๐๐๐๐Umeona sasa unavyotapatapa hujui ushike lipi?? Unaanza kusingizia iphone kwani sele kakununulia simu gani??
Matumizi mabaya ya msambwandwa huo dada bonge ๐๐๐๐
Ww umetoka na mapedejee wa JF alafu bado unatumia itel kweli?? Aaaah udugu hapana hiyo haiko sawa hata kidogo ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Inamana hata yule mwanaume uliyesema coca kakuibia naye kashindwa kukunulia iphone?? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Naaam naaam๐๐๐๐ kumbe kinachokuuma mimi kuwa msemaji wa wake wenzio??
Halafu mimi sio shortiiiii sawa?? Mimi size ya kati, shortiiiiii ni Selee anayekupanda ngongoti
Wewe sikuandami ila nakutibia kichaa chako, ujue mi uduguu wako lazima nikuweke sawa wewe bonge nyanya ๐๐๐๐
Mimi video nilishaweka mwenzio na nakurudishia tena hiyo uangalie kwa makini
Aliepropose video humu ninani??? Nilifuatilia koments za Nyuma vizuri sana Ndio nikaomba videos zilipoanzia sijawahi omba tuweke video aliesema Hivo niwewe na kumbe ile siku uliweka ulitaka tugundue nini?Uduguu ushaanza kupoteza direction taratiiiiiibuuu unajaa kwenye mfumo ๐๐๐๐
Wewe si ndo umesema tuweke video, mimi nimeweka picha tayari ushageuka hutaki tena video kwann sasa?? ๐๐๐
Miongozo ntamtaja mpk arefuke uko aliko shenzy ๐คฃ
Mimi wewe uduguu wangu, unajua maana ya uduguu?? Ni ndugu yako anayekufundisha kwenye nyeupe kusema nyeupe, na nyeusi kusema nyeusi ๐๐๐๐
Inamuuma ww ulihongwa gari nini?? Mana yeye anahongwa maneno ya kubebishwa tena kwa kuforce ๐๐๐๐Unamuumiza udugu wako
#kudate suala 1
Kuhongwa vinono suala lingine
๐๐๐
Tuliaaaa na wewe
Ewaaaaaaaa๐๐๐View attachment 2919043
Kama hivo ๐ฅน
Kuna mtu namjua anapenda viatu vilivochongoka mbele kama hivi ๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐView attachment 2919043
Kama hivo ๐ฅน
Ile siku ile tulikuwa tuna vibe nikaweka video na ndio iliokuuma mpk ukaja na id nyingine kulalamika sasa pale uliumia nini?? Mbona video ya kawaida sana uduguuu ๐๐๐๐Aliepropose video humu ninani??? Nilifuatilia koments za Nyuma vizuri sana Ndio nikaomba videos zilipoanzia sijawahi omba tuweke video aliesema Hivo niwewe na kumbe ile siku uliweka ulitaka tugundue nini?
Miongozo miongozo miongozo nawee njoo upewe mwongozo resources zipoooo !
Kabisa๐๐๐๐๐
Ndio muda wa kutangaza keki sasa
Muda wa mapumziko wanakula zao red velvet taratibu huku tunawasubiri
Hawana baya๐๐๐
Unafahamu fika kinachoniuma ni kunihusisha na ids mpya humu wewe unazingua na kutoka mwenyewe utasema yoteee afu mi sijafungua hata mdomo wangu!๐๐๐๐ kumbe kinachokuuma mimi kuwa msemaji wa wake wenzio??
Halafu mimi sio shortiiiii sawa?? Mimi size ya kati, shortiiiiii ni Selee anayekupanda ngongoti
Wewe sikuandami ila nakutibia kichaa chako, ujue mi uduguu wako lazima nikuweke sawa wewe bonge nyanya ๐๐๐๐
Mimi video nilishaweka mwenzio na nakurudishia tena hiyo uangalie kwa makini
๐๐kumbe anafosi? HahaaaInamuuma ww ulihongwa gari nini?? Mana yeye anahongwa maneno ya kubebishwa tena kwa kuforce ๐๐๐๐
Halafu ule uzi alijifungulia mwenyewe kuwarusha roho ๐๐๐๐
Sele alimpa password akaamua kuwarusha roho nyie JF tamu sana