Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wifi umepinda ujue ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hapo kwenye kuchangamka ndo balaa
aah shoga angu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ningekua nakufaham ningekudadavulia walau kiduchu ๐ŸคŒ๐Ÿพnimepoa saivi acha tu,,huon mda mwingi npo online aseee,,nashinda tu nyumbani ka mgonjwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ngoja kiwakeee
 
Ila wifi we weka kwani kuna anayekujua hapa!! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Em lete udambu dambu huo, sio shida zetu sie.
Maisha ni yako hakuna mtu wa kukupangia, mwenye uchungu akazae ๐Ÿ‘Œ๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ
 
unaujua uchungu wewe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚acha umaandazi wako huo,,, siwezi weka aseeee we subiri nichangamke๐Ÿคผโ€โ™€๏ธ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚utaniulizia adi chooni
 
Mnaogopa kwa sababu Kuna namna mshajieleza mlivyo kumbe sivyo๐Ÿ˜
Mimi sijawahi kujieleza kokote bโ€™se sitafuti taji la umiss humu wala mume, kwanza sio dating site hii useme unahitajika kujinadi. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mimi nasemaga ni flat screen na naenjoy kuwa hivyo, sasa suala la picha hilo sio shida zangu.!! Picha nishatuma ambaye anateseka nayo atume yake tuone.!! ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
unaujua uchungu wewe ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚acha umaandazi wako huo,,, siwezi weka aseeee we subiri nichangamke๐Ÿคผโ€โ™€๏ธ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚utaniulizia adi chooni
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Weka basi tuchangamke wote
 
Mimi sijawahi kujieleza kokote bโ€™se sitafuti taji la umiss humu wala mume, kwanza sio dating site hii useme unahitajika kujinadi. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mimi nasemaga ni flat screen na naenjoy kuwa hivyo, sasa suala la picha hilo sio shida zangu.!! Picha nishatuma ambaye anateseka nayo atume yake tuone.!! ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Sasa ndo uandike gazeti lote dada๐Ÿ™„
 
Mimi sijawahi kujieleza kokote bโ€™se sitafuti taji la umiss humu wala mume, kwanza sio dating site hii useme unahitajika kujinadi. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mimi nasemaga ni flat screen na naenjoy kuwa hivyo, sasa suala la picha hilo sio shida zangu.!! Picha nishatuma ambaye anateseka nayo atume yake tuone.!! ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
kwani kua flat ni ugonjwa,,afu tuna jina letu zuri ivi๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹english figure uuuuweeeeh ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ sjawah miliki msambwanda toka nizaliwe
 
Si ndo hapo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Misambwanda sie Akhu!! Hivi hivi km dada wa taifa ndo fresh sasa!!
 
Back
Top Bottom