Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Si watafute zao my wiii😍😍Ila watu mna stress aisee.!!
Wengine mmetoka mapangoni kisa dollar ambazo haziwahusu na ushauri mnatoa.!!
Kweli wabongo ndio watu pekee Africa tunaongoza kwa kutokuwa na furaha, imagine mpk jike shupa linaonea wivu pesa zisizomuhusu, si ulete zako sio nye nye nye nyingi.!! Pesa chache hizo mapovu mengi yanawatoka.!!
Halafu nasikia kuna connection mpya ya 😼
Nimeku hamu mwenzio❤️