raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Mimi nabeba weeeeee 😊Hivi mlisema kwenye kikao chenu mwanamke anayevaa nose pierce haolewi 🤣🤣🤣
Sasa jee ilo ziwa sasaaaa 😗 na baridi hii una makusudi wewee 😄Picha maalum kwaajili y’a raraa reree 😂😂
😂😂😂😂 Kwender mfyuuu.!!Sasa jee ilo ziwa sasaaaa 😗 na baridi hii una makusudi wewee 😄
Mtoto umeiva 😊 🔥😂😂😂😂 Kwender mfyuuu.!!
Uchinjwe xmas 😂😂😂Mtoto umeiva 😊 🔥
Kichwa kinawaka moto mpka kinataka kupasuka 😄Uchinjwe xmas 😂😂😂
😂😂😂 pole sanaKichwa kinawaka moto mpka kinataka kupasuka 😄
Aaaah bhana weeeeee 😋😂😂😂 pole sana
Karibu Nkamu😋😋😋 nkamu nakuja kula
Bwana Yesu asifiwe BrotherHuku kumbe naweza kucomment
Itakua nimetoka kifungoni
Ntakuchapa 😂😂😂Aaaah bhana weeeeee 😋
Nimeona ilivyonoga hapo mimi naila hivyo hivyo sitaki kuongeza chochote nkamu 😍😍Karibu Nkamu
Ilikuwa tamu sana
AmeenBwana Yesu asifiwe Brother
Wachangamshaji wote walipigwa pinAmeen
Huku mbona kumepoa sana? Cake zipo?
Nimekula na ugaliNimeona ilivyonoga hapo mimi naila hivyo hivyo sitaki kuongeza chochote nkamu 😍😍
Nna camera mbovu kinoma😂Wachangamshaji wote walipigwa pin
Inabidi upachangamshe kwa kuselfika
Keki zipo
Karibu sana
Wewe selfika hivyohivyo bila kujali cameraNna camera mbovu kinoma😂
Hapo kwenye cake naangalia nifanyeje, lla ngoja kuna mtu nitambless
Wa siku zote, Ila nataka iwe tofauti kidogo😂Wewe selfika hivyohivyo bila kujali camera
Mbona picha za camera zenye ukungu zimejaa humu.
🔥🔥🔥🔥🔥
Safari hii unambless nani Boss ?
Wa siku zote, Ila nataka iwe tofauti kidogo😂