Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Naamini imeeleweka na limeisha hiloUnarudia tena.!
Dah! Em ngoja nikuache uendelee naona hatuelewani.!!
Unarudia tena.!
Dah! Em ngoja nikuache uendelee naona hatuelewani.!!
πππ umetumia silaha kubwaKati ya jamaa nliemdharau leo ni huyu Vincenzo Jr kuselfika bure na kupiga nyumba ya bosi wake pich** na anadai ni yake huku anagombania voch* na wanawake kule asee na ndev* zake mpaka kichogoni, acheni drama wana* mta....
Sasa hivi pamechangamka kidogo?πMhusika bado hajatajwa
Ila Roho ya Bwana anasema unaweza kuwa wewe Nkamu wangu
We hufurahi?πππ
πππ€£π€£πππππππππKama hakupendi kubali tu mzee.. mbona unamlazimisha...
Hata alqaida siyo mbayaNyie ndo mnafanya watu wajiunge Alshabab ili wawalipue Mxieeeeww πππ
Wewe umetumwa na shetani unijaribu sio bure leoMhusika bado hajatajwa
Ila Roho ya Bwana anasema unaweza kuwa wewe Nkamu wangu
We hufurahi?πππ
Kuna mtu baaada ya game ya Yanga kuisha nataka kwenda kumkomoa hapa jirani yanguKwani Kuna mtu amekula nauli yako??
Hii inatumika ukiwa mnatafuta Watoto tu π
Svdfjjjsvcsjbs nkamuNkamu kuwa mpole kidogo basi na wewe khaa!
Bado umekaza tu
Vsvdkdvdivdvjjdbbnjvvd mfyuuu.!!Hata alqaida siyo mbaya
Nkamu unatudis ila unatukubali tu kiaina
Uongo uongoπππππ
Nyumba aitoe wapi beggars huyo matonya pro max, anagombania vocha mpk analia.!Kati ya jamaa nliemdharau leo ni huyu Vincenzo Jr kuselfika bure na kupiga nyumba ya bosi wake pich** na anadai ni yake huku anagombania voch* na wanawake kule asee na ndev* zake mpaka kichogoni, acheni drama wana* mta....
Nkamu umeanza kujifunza kichinaπππππVsvdkdvdivdvjjdbbnjvvd mfyuuu.!!
Ndio ujue nimekumind πππNkamu umeanza kujifunza kichinaπππππ
Huyu ni Bwana Mungu NkamuWewe umetumwa na shetani unijaribu sio bure leo
Nkamu utajichosha bure ujueπππππNdio ujue nimekumind πππ
Mtafanya tuogope kuwaozesha Wajukuu zetu sasa πKuna mtu baaada ya game ya Yanga kuisha nataka kwenda kumkomoa hapa jirani yangu
Cake yangu niliyokupa order nimetoa maelezo iende kwenye kituo cha watoto yatima..!!Nkamu utajichosha bure ujueπππππ
Hii keki lazima niilete mwenyewe
Hiyo utaenda hukoCake yangu niliyokupa order nimetoa maelezo iende kwenye kituo cha watoto yatima..!!
Yameisha Nkamu ila tumeelewana na umenielewa vizuri.!!Huyu ni Bwana Mungu Nkamu
Mungu bado analo kusudi ujue
Baki peke yako bye πHiyo utaenda huko
Ila hii nyingine Nkamu si inakuja kwakoπππ