Selfika na JF: Snap it. Show it

Pole sana babu jitahidi kula vyakula vyenye vitamin A especially carrot kwawingi zinasaidia kuona vizuriiii
Raha ya kusomesha Wajukuu hiyo, mambo ya Vitamin A hata nilikuwa sijui ๐Ÿค—

Bibi yenu akirudi shambani, nitamwambia aniandalie Carrot niwe natafuna tafuna wakati nikicheza bao na Wazee wenzangu ๐Ÿค—

Bibi yako na Mimi tumekukumbuka sana Mjukuu
 
Miss you more granpa mwambie bibi mie na mkweo tunajiandaa kuja kuwasabahiii kitambo sana tumewamisi pia
 
Kakwambia atakulipa kiasi gani?๐Ÿค”
Pikipiki posta kaziniiii sihitaji malipoooo ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ !
Napenda tu kuona min me akoooo anafurahieee utraaamm wakooo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚! Usimbanie mtoto wa mwanamke mwenzio ujueeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ