Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Pole sana babu jitahidi kula vyakula vyenye vitamin A especially carrot kwawingi zinasaidia kuona vizuriiii
Raha ya kusomesha Wajukuu hiyo, mambo ya Vitamin A hata nilikuwa sijui 🤗

Bibi yenu akirudi shambani, nitamwambia aniandalie Carrot niwe natafuna tafuna wakati nikicheza bao na Wazee wenzangu 🤗

Bibi yako na Mimi tumekukumbuka sana Mjukuu
 
Miss you more granpa mwambie bibi mie na mkweo tunajiandaa kuja kuwasabahiii kitambo sana tumewamisi pia
 
Back
Top Bottom