spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Kwa saa za huku nlipo ni muda wa kuhudumia watu wa MunguSasa si alisema yuko italy au? 😹😹😹
Unajua mtu anaweza kuongea kwa codes nyie mkajua kweli yuko italy kumbe mwenzenu anamaanisha vingine (italy ya lenzi mbinuko) 🤣🤣🤣
Kesho mkuu acha nipumzike
Pumzka mkuu