Selfika na JF: Snap it. Show it

Ila kibonge maneno Huwa anataka yeye yani ni mshaku naku hatariiiiii
Akiona kichwa cha mtu pahala...presha inampanda hakai kwa amani..
Mapapai yaso na soko Yana tabuπŸ˜…πŸ˜…πŸ’”
Bonge jipya hana na malinda hana
Kilichobaki tumpe kijora tukae naye kibarazani kusogoa
Pa kushika hana na uwanaume hana 🀣🀣🀣
 
[emoji108] treeeenaahhh.!!
Dude lenyewe hilo awwwh limfikie mke mwenza wangu yoyote huko aliko, hivi kwanza hata namjua huyo mke mwenza!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu Una heka heka weyeeeee.
 
Bonge jipya hana na malinda hana
Kilichobaki tumpe kijora tukae naye kibarazani kusogoa
Pa kushika hana na uwanaume hana 🀣🀣🀣
Bonge ataamani angekuwa mwanamke angekuwa ana uwezo angetoboa mlango WA mbele Maana mlango WA nyuma uko dholfu l haliiπŸ˜…πŸ˜…
Ndo maana haishiwi makasiriko
..duniani hayup akhera hawamtambuiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuu nimechekaaa km chiziii hapaa.
Shangingiii kubutuaa komboleaaaaa,

Ntakuhadithiaaa kuleee, utachekaaa uzimieee. Woiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumewakaaaaaa!!!!
 
Oyiii kaka bonge hivi yule muzungu hajarudi kukufata?
Visa ushakata au na passport huna?
Unapiga picha nyumba za watu huogopi?
Nasikia ukicheka miluzi inakutoka,
Wazungu wamesepa na sealed wamekuachia baridi, upepo ukipiga unazama mpk kwa bibi 😹😹😹
 
Ubwabwa ushakuja kwa meza, halafu wana wameususa.. jiangalie dada kaka utatoswa km mzamia maji baharini..
Huna jipya na linda huna oyoooooo.!!

Lazima unate na beat langu.!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weekend inaanza kuchachukaaaa,
Watu weuweeeee.
 
We ni msosi mfano wa chips maini
Ila mbishi kama nini
Huu ni mkosi vipi hutaki kuamini
Unakuja bila tarehe
Unanyukwa kama mfungwa
Hauna kibanda kazi kudanga
So jitahid uwe unapanga hoja
Acha kubwabwaja mdomo unanuka
Unaji contradict sana
Unanitukana wakati unajitukana
 
Majiraniiiiiiiiiii hukuuuuuuuuu!!!!
Mambo nayapendaaa mie hayaaaa, yaani rohoo kwatuuu.
Watuuu weuweeee!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Majiraniiiiiiiiiii hukuuuuuuuuu!!!!
Mambo nayapendaaa mie hayaaaa, yaani rohoo kwatuuu.
Watuuu weuweeee!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatutaki amani..amani ya kazi gani..,?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”
 
Bonge ataamani angekuwa mwanamke angekuwa ana uwezo angetoboa mlango WA mbele Maana mlango WA nyuma uko dholfu l haliiπŸ˜…πŸ˜…
Ndo maana haishiwi makasiriko
..duniani hayup akhera hawamtambuiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’”
Bonge anatamani kukata kibamia ili atupie kitumbua/

Wazungu washakula kibagia hana cha kututambia/

Mtaani tumemchoka beki hazikabi mashuzi anatujambia/
 
Kivumbiiiii leoooooo!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], naonaa rahaa mie.
Aiiiiiiiiih
 
Hatutaki amani..amani ya kazi gani..,?
[emoji23][emoji23][emoji174]
Amaniii ya nn? Inatokaa wapiii kwaniiii?
Mwendo wa heka hekaa, mia kiduchuuuuuu.
Woyooooooooooo!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuu nimechekaaa km chiziii hapaa.
Shangingiii kubutuaa komboleaaaaa,

Ntakuhadithiaaa kuleee, utachekaaa uzimieee. Woiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa uduguu ngoja tupige free style kwanza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…