Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hili party la kimya kimya atulize kiskundi kaka bonge [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watuu weuweeeee, eti atulizeeee nn? Uduguuu hii imeendaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unanuka sana unanitia kichefuchefu nimepoteza muda umenirudisha nyuma stepu wewe ni mlemavu [emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji16][emoji16]
IMG_20240824_151447_779.jpg
IMG_20240824_151533_556.jpg
 
Selfika tunayo na tunatamba nayo/

Mganga uzi katuwekea kazi kwetu wambea/

Mipicha kujitupia na vichaka kuwatishia/
 
Bonge leo utaongea 😹😹
Bado hujasema na hivi huchelewi kujitupa na kulia kwa modes lione km simtank la kiboko 🤣🤣🤣
 
Selfika tunayo na tunatamba nayo/

Mganga uzi katuwekea kazi kwetu wambea/

Mipicha kujitupia na vichaka kuwatishia/
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuu nachekaaa km mwehuuu hapa ujueee.

Nyie kumbe tunaogopwaaa kiasi hikiii, aaaaah wee!!
 
Halafu hiki kionjo bonge ngoja stimu zipande vizuri utachora chini, oyaa coca huo mjani ninyongee vizuri leo kuna mtu nataka msambwanda u-bust 🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuu nachekaaa km mwehuuu hapa ujueee.

Nyie kumbe tunaogopwaaa kiasi hikiii, aaaaah wee!!
🤣🤣😂 wanatuogopa km ukoma
Sema mibonge siku zote hainaga akili
 
Halafu hiki kionjo bonge ngoja stimu zipande vizuri utachora chini, oyaa coca huo mjani ninyongee vizuri leo kuna mtu nataka msambwanda u-bust [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Woyooooooooooooh!!! Mie napenda haya mamboooo, yaani hapa rohooo kwatuuuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom