๐๐My lovie
Mimi mbona sijakuona weka tenaKajinga wewe๐
Nimetingwa kidogo min akee E ngoja nikitulia uirudie tena
Nitaku tag siku nyingne ๐Mimi mbona sijakuona weka tena
Nilipitwa sis ngoja nimalize ubize kidogo badae nikija uibles weekend Yangu iwe buruda kipenzi
Kaka bonge ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐คฃ๐คฃ๐คฃ asugue na jik, shingo ina nongo ptyuuuu.!! ๐คฎSugua shingo hiyoooo
Acha UCHAFU sugua shingo shosti yako anakwambia ukweli ๐คฃ๐คฃStaki nitachuna ngozi ๐๐๐
Mchafu ๐คฃ๐คฃ๐คฃUmemuaibisha sana huyo mtu.
๐๐๐ wanakuwaga na sifa zao moja hivi wakuda kinoumaKaka una shingo ya ngazi ngazi ๐
Sio tu kuoga na jik itumike shingo ina nongo nyeusiiii ๐คฃ๐คฃ๐คฃmaanake umemuambia awe anaoga mbele ya umati.
Ujisugue shingo hilo mfyuuu ๐คฃ๐คฃ๐คฃBaelezee baambie ๐๐๐