Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee Mkinga kabila tu linakubeba. Ukute hapo unamalizia ghorofa la 3. Huku unatafuta nyumba Sinza 2B uivunje, ujenge lingine. Sikuwezi kabisa Odo ake. Mimi sina pesa, mpaka niombe home 🀭🀭🀭🀣🀣🀣🀣
Umepita mulemule aisee, leo Kuna status kaweka ya apartments mpya aisee. Akibisha tu namwaga hapaπŸ™„
 
Umepita mulemule aisee, leo Kuna status kaweka ya apartments mpya aisee. Akibisha tu namwaga hapaπŸ™„
Good halafu unajua shem. Wanawake ndiyo wenye pesa siku hizi. Yaani wanawake wameamka hadi raha. Wengi hawawategemei tena wanaume. Wanafanya mambo makubwa sana. Hongera Odo ake Lamomy Zizidi na zingine πŸ™
 
Wewe shem huwa unasema kweli na nakuamini kabisa. Ila mwache aendelee kunizingua. Uzuri ukweli uko wazi hakiharibiki kitu. Wafanyabiashara wakubwa wachoyo, kukwambia A,B,C za biashara. Hawataki kutoa siri mtajirike wote.
Huyo muongo niamini mimi,nauza vijora km uko tayari njoo tupigwe wetu na jua kuita wateja… πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jioni kusukumana kugombea mwendokasi odo utaweza??
 
Huyo muongo niamini mimi,nauza vijora km uko tayari njoo tupigwe wetu na jua kuita wateja… πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Jioni kusukumana kugombea mwendokasi odo utaweza??
Thubutu wewe huyo, acha kuomba Mungu akushushe. Shukuru alipokufikisha. Mimi huwa napenda kumsifu Mungu kwa chochote anachonipa. Sitaki kumshusha ni kurudisha sifa na Utukufu wake.

Odo nalala maana baadaye nikiamshwa nitaanza kulia 🀣🀣🀣🀣🀣 usingizi bado, nitawanunia watu wote.
 
Odo achana na cantry nifanyie mpango wa mtaji, hayo mengine usimsikilize.!!

Tajiriiiiii unaamshwa?? Wenzio alarm inatukuta tuko macho 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…