Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
ahahah wapikwa wenye mihela wanaotesha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahahah wapikwa wenye mihela wanaotesha
Nadhani ni asili au bado kijana mdogo😄nazipenda ila hazikuji
ahahah ushaaza kufanana na alshababMimi pia napenda ,now nimetunza hata mdomo hauonekani😅😅😅
😁😁😁 mimi ni alshabab haswa😅😅😅😅😅ahahah ushaaza kufanana na alshabab
Nadhani ni asili au bado kijana mdogo😄
Unanikumbusha kipind fulani niko advance nilikuwa napenda niwe na ndevu ila hazikuwepo ila sikuhizi ni kila week saloon kuzipunguza na katikati ya week napunguza mwenyewe nyumbani.
Hahaa mkuu naona hatuachani sana ndevu ila sasa mimi sipendi ziwe nyingi sana za kufunika mdomo😂Mimi pia napenda ,now nimetunza hata mdomo hauonekani😅😅😅
😁😁😁 mimi ni alshabab haswa😅😅😅😅😅
😁😁 mdevu kana yapo yapo tu hasa kwa sisi tulio na dalili ya upara🤣🤣🤣mambele huko
uturuki labda
fika bossHahaa mkuu naona hatuachani sana ndevu ila sasa mimi sipendi ziwe nyingi sana za kufunika mdomo😂
Basi huna asili ya ndevu.aha nishaanza kuzeeka mzee
fanya donationmambele huko
uturuki labda
Hahahah ila mimi nakuzidi mkuu😅 😅 mda mwingne nazitafunia kwenye ugali.Hahaa mkuu naona hatuachani sana ndevu ila sasa mimi sipendi ziwe nyingi sana za kufunika mdomo😂
utasubiri sanafanya donation
pako peupe kma Kota la mzunguBasi huna asili ya ndevu.
Hata vile vi uchebe vya kidevuni hauna mkuu?
we ivy wanaume kusaidianutasubiri sana
Nita selfika mkuu.ngoja nipate nafasi hahasel
fika boss
waNita selfika mkuu.ngoja nipate nafasi haha
inawezekana mkuu.mimi wastani wa siku 3 ndevu zinakuwa zimeshaota.Hahahah ila mimi nakuzidi mkuu😅 😅 mda mwingne nazitafunia kwenye ugali.
Nichome tu mkuu wala siwazi😆ngoja nikuchome wakukanate au ndio.influencer wa maandamano wewe