Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mama junia hata kuniita jamni
Junia ana Auntie Kisu😍🔥🔥
Nimekuona Auntie 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥hatari
Kamwili kazuriiiii
Bado hujaachia ile lipstick

...
Auntie na mimi nilipitwa,
Nimeona Kwa msaada wa walioquote
Yaani kapeace ni mzuri jamani ukweli usemweee

Shepu
Miguu
Ngozi
Kasura sasa uwiii🔥
Yaani mrembo bila chenga
 
Back
Top Bottom