BLhaha nani wewe eh?
hakika umesimamia ukucha mkuu
Kwa mazingira hayo ningejiweka kwa mwalimu, mi ni mtata kiaina ile wote kuvaa uniform kwangu tu inapoteza nafasi ya kukuheshimuπ€£π€£,Unataka pension yako uivute mapema tu.
Niliposemea Mimi advance huko mbeya mtoto wa kike kama wewe ili uwe safe lazima uwe na mtu Yani unatongozwa kibabe utake ukubali lazima uchukuliwe.
Shule za serikali za zamani haha zilikua zinaendeshwa kitemi sana (Mimi mwenyewe niliokotaga dodo pitia huu mpango)
Awwwwwwwww Ajjatt lipsss hizooooooπ₯π₯π₯π₯π₯π₯πππππ
Wazee mbona wanaijua kazi! Hao wa kufia kwenye kinena wana tabu zao tangu wakiwa vijanaWeee mie na vijana wapi na wapi????
Weee six pack hailipi billss weeeh!!
Wazee ndo wazuriii wanajielewa afu wanajua kutunzaaaaa yaniii waelewa mnooooo!
Unaenda nae aste asteeee asije fia kwenye kinenaaa!
Ukutane na mzee wa kileo sasa utafurahi naroho yakooooππππ€!
Sema nishaachana na hekaheka za ujana nimekituliza sasa!
Unaonekana kilimeter hazijasoma kabisaKwa mazingira hayo ningejiweka kwa mwalimu, mi ni mtata kiaina ile wote kuvaa uniform kwangu tu inapoteza nafasi ya kukuheshimuπ€£π€£,
Kuna mstaafu wa miaka 13 ijayo kanituliza sifurukuti πππUnaonekana kilimeter hazijasoma kabisa
Hao wakurungwa si unawanyasa nyasa sana mkuu.
Bora wewe unajua kucheza nayo ukifuta ni pote inafutika kina sie sasa πππ sasa ya leo umenoga kuliko janaHaha yaani acha tu unakuta siku watu wanazirudia hapa jukwaani unabaki kushngaa hii ni nn Bora kufuta chap
Asante dada πBora wewe unajua kucheza nayo ukifuta ni pote inafutika kina sie sasa πππ sasa ya leo umenoga kuliko jana
Hongera sana kwake huyo mwamba!Kuna mstaafu wa miaka 13 ijayo kanituliza sifurukuti πππ
Siko tandam hivyo ila sipo kwenye mnyauko vilevile, jamaa ananituliza kanizidi kila kitu lazima heshima iwepoHongera sana kwake huyo mwamba!
Inaonekana Yuko vizuri
Maana tandamu kama ya kwako inabidi ule vizuri ushibe kweli kweli
Otherwise knock out mapema tu