Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Basi nitarudi ila ndo usiku mnene😅😅😅 wenye simu umbea km yako mtakuwa mnakutana nazo asubuhiAcha wapambe sasa
Kuna Wapambe Kazini ni zaidi ya hatarii!
Za kudalod Hivooo hivooo illimradi uzi udamshii!
Mwenyewe na kimeo changu natuma hivooo hivooo sijareee wala neneee! Venye hakuna anaenidai awwww🐒🐒🐒🐒
sio shida zangu kabesaaaaaaa!