Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi nimestaafu,

Yangu 2014 nipo hapa, sasa hivi nguvu sina.

Nikienda piem naweka order tuu za bizaa.

Mwambie Aaliyyah atutengenezee juice ya tende na maziwa.

Muhimu saaana ile
Sio toka kile kipindi jf ilivyolikisha the selected students of hall v/ kweli upo mda sana.

Mnahaki ya kujilia vimwana tu
 
Haha

Kuna member hua zinawapiga marufuku mpaka kuqotiana.

Kuna Mali ukizimiliki ni presha sana mkuu
Si ajitokeze mzee wa kupiga watu marufuku kunikoti jamani ntampa na ntampa tena na tattoo tamchora maana hivi mnanitag tag na kunikoti koti nakuwa km mbuzi wa mjini wasio na mchungaji🙄🙄🙄
 
Hahahaha wasiwasi ni akili maana wehu ni wengi apa....

Chombo Kama Kapeace hapana kabisaaa

Naam,

Unambakishia account ya Facebook tuu achati na shangazi zake WA huko buseresere
😂😂😂kuna mzee jirani ana kazi hiyo video call hadi toilet tabia za nyegere wakati mwenyewe kitombile kila shimo alitaka
 
Si ajitokeze mzee wa kupiga watu marufuku kunikoti jamani ntampa na ntampa tena na tattoo tamchora maana hivi mnanitag tag na kunikoti koti nakuwa km mbuzi wa mjini wasio na mchungaji🙄🙄🙄
Inaonekana shamba hawawezi kulilima.

Kilimo chake Cha gharama kama nyanya
 
Back
Top Bottom