Selfika na JF: Snap it. Show it

Duh hiyo hatari

Ndiyo maana watu husema Siri ni ya watu wawili, lakini inategemeana na unayempa Siri yenyewe

Imagine unampa Siri min -me akiwa na beer ya pili, akifikisha beer ya 8 anaiweka hadharani 😜
Kuna siku nililewa nikawa nachati humu , asubuh yake nikawa napita nafuta tuπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Kuna siku nililewa nikawa nachati humu , asubuh yake nikawa napita nafuta tuπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Hahahaha.....................unakuta unahaidi kabisa hutasema Siri ya muhusika, lakini baada ya beer ya 6 unaanza kumwaga Mchele kwenye Kuku wengi πŸ˜…

Ndiyo maana maafisa vipenyo wengi huwa wanapewa hela za kulewea ili kwenda kukusanya taarifa kwenye mabaa 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…