Vyuo vimejazana chungu nzima ni wewe tu.Tena vingine buree kabisa.Sisi hatukusoma bhna
Kipi iko cha bureVyuo vimejazana chungu nzima ni wewe tu.Tena vingine buree kabisa.
ChatGPTKipi iko cha bure
Now nipo njia panda nataka kuchukua international relationship ila nahisi kama haitanifikisha napotaka ni coz zip mzuri sanaChatGPT
You said:
Vyuo vinavyotoa kozi za bure mtandao
Vyuo Vikuu Vinavyotoa Kozi za Bure
- Harvard University β Kupitia Harvard Online Learning
- Stanford University β Kupitia Stanford Online
- MIT (Massachusetts Institute of Technology) β Kupitia MIT OpenCourseWare
- Yale University β Kupitia Open Yale Courses
- University of London β Kupitia Coursera
Majukwaa yanayotoa Kozi za Bure
- Coursera (www.coursera.org) β Inatoa kozi kutoka vyuo vikuu mbalimbali duniani.
- edX (www.edx.org) β Inatoa kozi kutoka vyuo vikuu kama Harvard, MIT, na wengine.
- Udemy (www.udemy.com) β Ingawa kozi nyingi ni za kulipia, kuna kozi za bure pia.
- Khan Academy (www.khanacademy.org) β Hutoa mafunzo ya bure kwa masomo mbalimbali.
- FutureLearn (www.futurelearn.com) β Inatoa kozi za bure kutoka vyuo vikuu vya Uingereza.
- Alison (www.alison.com.Ni wewe ni bundle lako.Credit ChatGPT.
Itakua wameshusha, kuna kipindi ilikuwa kama sio milioni 5 basi ni milioni 1..Ahah si nasikia laki 2
Wamekosa wadauItakua wameshusha, kuna kipindi ilikuwa kama sio milioni 5 basi ni milioni 1..
Naona mboga saba alafu zote za majani πView attachment 3225389
Half american Shing Yui Mad Max karibuni bhna wazee Lamomy hii nayo itakushinda MENEMENE TEKERI NA PERESI
Au sioNaona mboga saba alafu zote za majani π
Mbona kaugali kadoncho sanaπView attachment 3225389
Half american Shing Yui Mad Max karibuni bhna wazee Lamomy hii nayo itakushinda MENEMENE TEKERI NA PERESI
Usiku utakiw kula kushiba sana utaota ndoto mbayaMbona kaugali kadoncho sanaπ
Kumbe ilikuwa usiku?,. Nilidhani ya mchanaUsiku utakiw kula kushiba sana utaota ndoto mbaya
UsikuKumbe ilikuwa usiku?,. Nilidhani ya mchana
NdioAu sio
Ila mwachi unapika mdogo wangu πππ»View attachment 3225389
Half american Shing Yui Mad Max karibuni bhna wazee Lamomy hii nayo itakushinda MENEMENE TEKERI NA PERESI
Ashukuliwe mama yangu kipindi iko nilikuwa namuona ananikomoa anaenda zake dukani morng ana kwambia kila kitu kipo kikiiva nilete dukani kipindi iko nikirudi shule likizo nilikuwa natukana sana moyoniIla mwachi unapika mdogo wangu πππ»
Haya usisahau kutupia recipe basi πΉ
Huyo mama yupo vizuri sana, ndo inavyotakiwa sio kulelewa km yai πΉAshukuliwe mama yangu kipindi iko nilikuwa namuona ananikomoa anaenda zake dukani morng ana kwambia kila kitu kipo kikiiva nilete dukani kipindi iko nikirudi shule likizo nilikuwa natukana sana moyoni
Umenitenga siku hizi π’π’Hapana sikuchukii mtoto angu mzuri