Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 1,012
- 2,317
mkuu maneno kwenye lugha ya kiswahili huibuka kutoka kwenye kundi flani kubwa wataalamu wa lugha wanaita "misimu" sasa hii misimu inapokuwa na nguvu na kuwa na watumiaji wengi ndio inaunda lugha halisi inayo tumika.Mkuu kwamba kipimo cha neno kuwa sahihi ni kutumiwa na watu wengi siyo, toka enzi na enzi inajulikana neno sahihi ni "halafu" halafu wewe unasema eti siyo sahihi kisa linatumika na watu wachache, kwani hujui kwamba watanzania wengi huwa wana shida kwenye kuandika hasa kupenda kufupisha maneno
turudi kwenye mada kwahiyo mimi kwa experience yangu nazani neno "alafu" ndio linalotumika zaidi kuliko "halafu" japo yote yana maana sawa hata uki Google utaona yote yanafahamika na kutumika kama maneno ya kiswahili kwahiyo hakuna shida mimi nimekubali kuwa "halafu" ni neno la kiswahili lakini pia "alafu" pia ni neno sahihi.