Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

yeah neno sahihi hapo ni alafu, maneno mengine kama halafu yanatumiwa na baadhi ya watu ila neno ambalo watu wengi wanalitumia ni "alafu" japo yote yana maana moja
Mkuu kwamba kipimo cha neno kuwa sahihi ni kutumiwa na watu wengi siyo, toka enzi na enzi inajulikana neno sahihi ni "halafu" halafu wewe unasema eti siyo sahihi kisa linatumika na watu wachache, kwani hujui kwamba watanzania wengi huwa wana shida kwenye kuandika hasa kupenda kufupisha maneno
 
Back
Top Bottom