Njoo USAhebu pita kwanza nione nadeal na mtu wa aina gani maana unajiachia sana aisee!
kuna nini? pita hapa kwa picha sio physically!Njoo USA
Never shall that be.kuna nini? pita hapa kwa picha sio physically!
why?Never shall that be.
Teknolojia imekuwa sana ukiweka pic mtandaoni hata kama umepiga choo chako sio picha yako hiyo pekee inaweza kukuletea shida fwatilia Uzi wangu wa kutembelea eneo la white house Pennsylvania avenue nitapiga picha pale ila sio kizembewhy?
Ulijifichaga wapi๐๐๐พ
Imagine huyu amekutanulia mapaja aaaah
Unakula pombe ,unachoma na kanyama kako halafu hakuna anae kudai๐Dah kakoje hako mwanangu? ๐
Aisee๐Ulijifichaga wapi๐๐๐พ
Ugonjwa wangu dimples na kidevu kama Cha Adele๐๐๐พ
Mtoto jicho jichoAisee๐
Duh sawa umeeleweka mkuu..Te
Teknolojia imekuwa sana ukiweka pic mtandaoni hata kama umepiga choo chako sio picha yako hiyo pekee inaweza kukuletea shida fwatilia Uzi wangu wa kutembelea eneo la white house Pennsylvania avenue nitapiga picha pale ila sio kizembe
hapa nishafikisha altar yangu nusu mziki wa taratibu, nimetamani hizo nyama sasa ๐Unakula pombe ,unachoma na kanyama kako halafu hakuna anae kudai๐
Sioni ukipungua wewe ๐hapa nishafikisha altar yangu nusu mziki wa taratibu, nimetamani hizo nyama sasa ๐
nimekuwa kabonge yani hujaniona tu ๐คฃSioni ukipungua wewe ๐
MambAisee๐
Mhm sio kweli mara ya mwisho tunaongea hauna hata kg 65 labda kama unakula nguruwe ๐ฎnimekuwa kabonge yani hujaniona tu ๐คฃ
Poa.Mamb
sijamuonja mdudu nina muda mrefu sana, basi tu nimejiachia sana kipindi hiki, nataka kurelax huu mwaka, nimekuwa busy sana miaka ya nyuma aisee! wacha nipumue ninenepe nishindwe kupita mlangoni ๐Mhm sio kweli mara ya mwisho tunaongea hauna hata kg 65 labda kama unakula nguruwe ๐ฎ