Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Hmm yamekuwa hayo! na mbona situmii mara kwa mara!Ingia soba halafu piga uone
Hmm yamekuwa hayo! na mbona situmii mara kwa mara!Ingia soba halafu piga uone
😂😂😂Yani nimecheka..!!
Kumbe huwa na mikengele nayo inatakiwa ilowe..!!! 😹😹😹
JF ina viumbe wanachekesha sana..!
Wee Mzab, ulipoteleaaa wapiii? Na kukaanga watu wanafiki kisa hawajakucheki PM kwiooo?acheni unafiki nyie watu wa jf...yaani nilitegemea ningekuwa pm imejaa balaa...mweeee !! hamna ata mtu wakutaka kunijulia hali.
anyways nilikuwa napambania life ndugu yangu mambo yalikuwa magumu zilipigwa penalty mimi na israel, israel penaty yake imegonga mwamba ndio pona yangu. sasa nimerudi full afya ni mwendo wa burudaniiiiiiiiiiiiiiiiiiii
nipo kibabu,, mbona haujasinzia mpka saiviUpo we kibibi.
Pita basi mkuunipo kibabu,, mbona haujasinzia mpka saivi
nibless na wew basi hensamPita basi mkuu
Huo uhensam sinanibless na wew basi hensam
mbona u hensam umejaa tele woiiii,,,, yan una sura ya upole wakina selikavu wamekuharib na hiyo efootball yaoHuo uhensam sina
woi nini sasa🙂,, dada enu nazidi kuzeeka tu😥Woiiiih 🤩🤩
Efootball inaondoa chunusi na halala 😂😂😂🤠🤠🤠mbona u hensam umejaa tele woiiii,,,, yan una sura ya upole wakina selikavu wamekuharib na hiyo efootball yao
Unazidi kuwa na mvuto kadri unavozeeka.woi nini sasa🙂,, dada enu nazidi kuzeeka tu😥
inakufanya uchangantikiwe uonekane mcharuko wakati walaaaa😅😅 ka kijana kadogo alf kapole😜Efootball inaondoa chunusi na halala 😂😂😂🤠🤠🤠
Apo kwenye upole 😂🤠😂🤠inakufanya uchangantikiwe uonekane mcharuko wakati walaaaa😅😅 ka kijana kadogo alf kapole😜