Selfika na JF: Snap it. Show it

sijamuonja mdudu nina muda mrefu sana, basi tu nimejiachia sana kipindi hiki, nataka kurelax huu mwaka, nimekuwa busy sana miaka ya nyuma aisee! wacha nipue ninenepe nishindwe kupita mlangoni πŸ˜†
Hahaha acha A aanze kutaka kuongea na wewe πŸ˜…
 
Kesho anapelekwa kwa bibi yake, eti nakenyewe kanataka helaπŸ˜„
Kijana, mtoto wa kike ni matunzo, likizo kama hii unamlipia swimming training week nzima, weekend anapelekwa playground mbona pesa zinakutoka vizuri tu!
 
Kijana, mtoto wa kike ni matunzo, likizo kama hii unamlipia swimming training week nzima, weekend anapelekwa playground mbona pesa zinakutoka vizuri tu!
Hahahaaha hapo mimi huwa sijali kabisa , kabinti kangu kananijua vizuri , leo nimeongea nako kanataka binduki etiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hahahaaha hapo mimi huwa sijali kabisa , kabinti kangu kananijua vizuri , leo nimeongea nako kanataka binduki etiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Nunua tu, mimi nimemaliza ela last week juu ya toys ni balaa
 
Haya bwana wacha mie nikalaze komwe! sijui ndio shakuwa sugu! naona ninamaliza tu chupa na siyumbi kichwa kinaniuma tu bure ndio maana napigaga zangu whiskey tu!
Ingia soba halafu piga uone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…