Hmm yamekuwa hayo! na mbona situmii mara kwa mara!Ingia soba halafu piga uone
๐๐๐Yani nimecheka..!!
Kumbe huwa na mikengele nayo inatakiwa ilowe..!!! ๐น๐น๐น
JF ina viumbe wanachekesha sana..!
Wee Mzab, ulipoteleaaa wapiii? Na kukaanga watu wanafiki kisa hawajakucheki PM kwiooo?acheni unafiki nyie watu wa jf...yaani nilitegemea ningekuwa pm imejaa balaa...mweeee !! hamna ata mtu wakutaka kunijulia hali.
anyways nilikuwa napambania life ndugu yangu mambo yalikuwa magumu zilipigwa penalty mimi na israel, israel penaty yake imegonga mwamba ndio pona yangu. sasa nimerudi full afya ni mwendo wa burudaniiiiiiiiiiiiiiiiiiii
nipo kibabu,, mbona haujasinzia mpka saiviUpo we kibibi.
Pita basi mkuunipo kibabu,, mbona haujasinzia mpka saivi
nibless na wew basi hensamPita basi mkuu
Huo uhensam sinanibless na wew basi hensam
mbona u hensam umejaa tele woiiii,,,, yan una sura ya upole wakina selikavu wamekuharib na hiyo efootball yaoHuo uhensam sina
woi nini sasa๐,, dada enu nazidi kuzeeka tu๐ฅWoiiiih ๐คฉ๐คฉ
Efootball inaondoa chunusi na halala ๐๐๐๐ค ๐ค ๐คmbona u hensam umejaa tele woiiii,,,, yan una sura ya upole wakina selikavu wamekuharib na hiyo efootball yao
Unazidi kuwa na mvuto kadri unavozeeka.woi nini sasa๐,, dada enu nazidi kuzeeka tu๐ฅ
inakufanya uchangantikiwe uonekane mcharuko wakati walaaaa๐ ๐ ka kijana kadogo alf kapole๐Efootball inaondoa chunusi na halala ๐๐๐๐ค ๐ค ๐ค
Apo kwenye upole ๐๐ค ๐๐คinakufanya uchangantikiwe uonekane mcharuko wakati walaaaa๐ ๐ ka kijana kadogo alf kapole๐