ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 21,002
- 77,708
Kumbuka ni watoto chini ya umri kwanza kumsifia tu yule mzuri nilikosea ila nilishindwa kuvumilia alikua ni mzuri sanaaaa yaani saana.Hahaha mimi siwezi kuongea uongo jamani, kama ww ni mbovu sikusifii utakunya boga🤣🤸🏽♀️
Mimi mwwnyewe najua kuna sehemu watu wananinyali tu kwanini nisifie, huyo angenuna tu kwakweli.. loh🤭
Yule mwingine aliingiwa na unyonge nisingemsifia na yeye, angeathirika kisaikolojia
