Kumbuka ni watoto chini ya umri kwanza kumsifia tu yule mzuri nilikosea ila nilishindwa kuvumilia alikua ni mzuri sanaaaa yaani saana.Hahaha mimi siwezi kuongea uongo jamani, kama ww ni mbovu sikusifii utakunya boga🤣🤸🏽♀️
Mimi mwwnyewe najua kuna sehemu watu wananinyali tu kwanini nisifie, huyo angenuna tu kwakweli.. loh🤭
Hee! Kumbe? Basi watoto wengi huwa wanaathirika katika umri mdogo sana maana ni wepesi kubeba jambo akilini na kuliweka moyoni! Hapo kama rafiki alikiwa mweupe halafu yeye ni mweusi huenda angeanza kujichubua! Kumbe wewe haukuwa na maana hiyo!Kumbuka ni watoto chini ya umri kwanza kumsifia tu yule mzuri nilikosea ila nilishindwa kuvumilia alikua ni mzuri sanaaaa yaani saana.
Yule mwingine aliingiwa na unyonge nisingemsifia na yeye, angeathirika kisaikolojia
Kuna siku natoka chuo natembea kwenda kupanda gari, nyuma yangu kukawa na wanachuo wengine kwa mambo yao nilihisi ni 1st year kushuka chini.Hee! Kumbe? Basi watoto wengi huwa wanaathirika katika umri mdogo sana maana ni wepesi kubeba jambo akilini na kuliweka moyoni! Hapo kama rafiki alikiwa mweupe halafu yeye ni mweusi huenda angeanza kujichubua! Kumbe wewe haukuwa na maana hiyo!
Wewe ephen_ nimecheka🤣 ndiomaana wanakuitaga last born khaa! mimi ningewakata jicho hiloo🤣 eti Mungu akuoe vyote, kwakweli uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu,Kuna siku natoka chuo natembea kwenda kupanda gari, nyuma yangu kukawa na wanachuo wengine kwa mambo yao nilihisi ni 1st year kushuka chini.
Sasa bhana! Wakaanza kunong'ona mimi nawasikia "Mungu anajua kuumba, mmeona tako hilo dada ana umbo zuri huyu"
Mimi bichwa linavimba nasmile.
Kuna mmoja sasa akachafua hali ya hewa, nikikumbuka nacheka sanaa😂
Akaja kwa mbele yangu kwa style ya kunichungulia usoni, kumbuka mimi nipo mbele wao nyuma.
Yule mtoto alivyoniona usoni akarudi kwa wenzake huku anasema "Kweli Mungu hakupi vyote"
Nilitamani kucheka huku nilie ile kauli ilinipa mawaza nilimpigia simu rafiki yangu kumuhadithia akaanza kunicheka.
Nilienda kujiangalia sura hadi kwenye kioo🤣
Watoto wajinga wale! Yule alokuja kuniona uso ndo kimbelembele!Wewe ephen_ nimecheka🤣 ndiomaana wanakuitaga last born khaa! mimi ningewakata jicho hiloo🤣 eti Mungu akuoe vyote, kwakweli uzuri wa mtu upo machoni mwa mtu,
wewe ukimuangalia hata lupita utaona uzuri wake upo wapi, lakini kuna mwingine ataona weusi ndio ubaya. Mimi ninaamini ajionavyo mtu ndivyo alivyo, sasa kama madogo waliona hivyo wakikuwa wataelewa uzuri uko wapi na sio kama wanavyojiaminisha ujinga!
Haya pita chap nione hilo gutako kwanza😍
Sio kweli mpaka nione kwa macho! Kitupie hapa tuko wawili🤭Watoto wajinga wale! Yule alokuja kuniona uso ndo kimbelembele!
Nina pasi tu hapa, siku hiyo nilivaa kigodoro
Napita lakini usisahau kuniitaDadaake! Hebu pita kwanza bado tumelala na hiki kimvua😁
Madame B hajapinda AMENYONGOROTA kabisa 🤣😂..Wewe bhana ilitakiwa mkeo awe Madame B 😹
Madame B alisema ana dildo nusu mtu na nyingine ziko mbili anazikalia akiwa ofisini 😹😹😹
Kama kuna mtu kapinda basi Madame B humu JF
mda napita haukuepo kijana,, basi nitarudia badae😂Oyaa we kibibi mimi ndio nimekukomalia upite halafu unapita mida ambayo nimepumzika si ndio?🙄
Kaka nime kuta g na kuuliza una endeleaje, nikajua ume amua kuwa invisible.acheni unafiki nyie watu wa jf...yaani nilitegemea ningekuwa pm imejaa balaa...mweeee !! hamna ata mtu wakutaka kunijulia hali.
anyways nilikuwa napambania life ndugu yangu mambo yalikuwa magumu zilipigwa penalty mimi na israel, israel penaty yake imegonga mwamba ndio pona yangu. sasa nimerudi full afya ni mwendo wa burudaniiiiiiiiiiiiiiiiiiii
ndiooo ni mpole mnooo 👌ndo maana nikasema mmemuharibu😂😃😃Yan warld ndo mpole aseee🤣🤣🤣
unataka kumtumia nini tukuloge?😎Namtumia Dm
Labda amtumie code. 😂🤠unataka kumtumia nini tukuloge?😎
hakomi tuuu,,, kwahiyo anataka ahakikishe unapelekwa soba kwa ajili ya efootball😅😅Labda amtumie code. 😂🤠
Apo itabidi niwe sober kwaajili yako kibibihakomi tuuu,,, kwahiyo anataka ahakikishe unapelekwa soba kwa ajili ya efootball😅😅
ngoja nianze kukoleza mambo unogewe kibabu🤗🤭Apo itabidi niwe sober kwaajili yako kibibi
Utatisha sana kibibi 😂😂 niachane na stress za kufungwa na Razorbladengoja nianze kukoleza mambo umogewe kibabu🤗🤭
tatizo naweza kufungwa na sirikali kwa kuharibu vijana wadogo😎😅Utatisha sana kibibi 😂😂 niachane na stress za kufungwa na Razorblade