Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,090
- 13,527
Shemu tena, hebu acha bana njiwa watapeperukaAsante shem whith @Labela😎🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Shemu tena, hebu acha bana njiwa watapeperukaAsante shem whith @Labela😎🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Dah leo nimejua kucheka uzuri sijihushi na issue za mapenzi mahiMama Kazaa, Mungu kaumba 😍😍
Nyie wenzetu mlitoa special order kwa Sir God? Mbona mpo washwitiii 🥰
Dah! Halafu mrembo km huyu eti kuna fala anamringia? Wewe hutaki hata kufokewa ni kupetiwa petiwa tu..!! 😻
Your exceptional beauty must match your character. Ukorofi hufananii kabisa na ni wazi huwa unajilazimisha tu. Not cool! 📌Kwanini sasa 😂
Mtoto mtramu wewe 😹Nachekaaa mimi we binti punguza basii
Aww, achachaa uko na dimples?😌Mi kabaya ujue shepu zenyewe mpk tujibinue 😹
Umeona eehh 😹Vijana sijui wanakwama wapi, vyombo vipo aisee
Jiiiizozi! 😳😳😳😳Mi kabaya ujue shepu zenyewe mpk tujibinue 😹
Wana Jamii forum njooooooooooooooooooooooooni muone Bismillah MashaAllah 🥰🥰🥰🥰Mi kabaya ujue shepu zenyewe mpk tujibinue 😹
Wallah hebu fungulia watu hio private messages, kwanini lakiniUmeona eehh 😹
😹😹 Hapo chacha kwenye chaliiHuyo chalii yako kaz anayo
Upo??Shem selfika sijawahi kukuona ukipita..! 😹
Wewe sijui wangapi unasema hivi so inabidi niweje sasa😂Your exceptional beauty must match your character. Ukorofi hufananii kabisa na ni wazi huwa unajilazimisha tu. Not cool! 📌
Uko single na chumba cha message umepiga kufuli? Hebu acha bana kutuchezea akili😹😹 Hapo chacha kwenye chalii
Niko single mimi hawanitaki eti mkorofi..!!
Wewe mi sina bwana humu 😹Asante shem whith @Labela 😎🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Hamna pacha, kiwanja kipi akati niko nanjilinjiHili dundo lenyewe 😻
Pacha kwa code umeshindikana, unatupia vitu km upo kiwanja..!!
Oya nilikuwa busy na msosi, sijaona ulivyo rukaAsante shem whith 🏃♀️🏃♀️
Huyo anakukwepa usimchombeze 😹Shemu tena, hebu acha bana njiwa watapeperuka
Nimeona huyo mshkaji kama anaelewa fungua Pm uone 😂😂Wewe mi sina bwana humu 😹
Usije kufanya watu wakose mademu JF