Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,090
- 13,527
UsiondokeUnitag basi nasubiri hapa kwa hamu π₯
Nipo tupia πUpo??
Ah ela vocha tu? Huyu mrembo sio wa kumhonga vocha, mpe vogue sport na hata kiwanja Cha urithi nitauza nimpe Kila kituπNjoo uniombe vochaπ
πYou will make me so happy ππΏ
Ngoja nielekee rest room mara 1, usiulize kufanya nini.Intelligent businessman unalalamika mapaka najisikia vibaya π’
πππAh ela vocha tu? Huyu mrembo sio wa kumhonga vocha, mpe vogue sport na hata kiwanja Cha urithi nitauza nimpe Kila kituπ
Kweli, mi hawanipendi kakorofi πUko single na chumba cha message umepiga kufuli? Hebu acha bana kutuchezea akili
Mkuu una sura ya upole sana. Je, unaimba kwaya?Intelligent businessman unalalamika mapaka najisikia vibaya π’
Mh kamanda kaza kidogo, huu sasa ni ulofa alio usema mkapaAh ela vocha tu? Huyu mrembo sio wa kumhonga vocha, mpe vogue sport na hata kiwanja Cha urithi nitauza nimpe Kila kituπ
Yeah aweke full body tumuone..Dondosha sasa full body
Sawa kapmzike kidogo mdogo wanguNgoja nielekee rest room mara 1, usiulize kufanya nini.
Mi sio mdogo wako, unataka kuninyima nini eboo!Sawa kapmzike kidogo mdogo wangu
Tatizo code hizo unazopigilia πΉHamna pacha, kiwanja kipi akati niko nanjilinji
Ah kawaida tu Duniani apa tunapita tu, ukiona mrembo wa hivi hakikisha unapita nae bwana mdogo.Mh kamanda kaza kidogo, huu sasa ni ulofa alio usema mkapa
Dah si selfiki tenaMkuu una sura ya upole sana. Je, unaimba kwaya?
Katuwekea nusu ila ni mali safi kabisaYeah aweke full body tumuone..
πΉπΉπΉ Weeh sema kweli?Nimeona huyo mshkaji kama anaelewa fungua Pm uone ππ
Niamini mimi nina jicho la rohoniπΉπΉπΉ Weeh sema kweli?