Tonny Kapola Gas Station
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 1,023
- 3,334
Jidanganye!Humu wengi ni kama wanawake kutoka makete njombe uko sasa hizo sura za upole zinatokea wapi
Nimetoka kushuhudia kwa macho yangu. Hili ingizo jipya halina sura za Kinyaki wala Kingoreme. Ni vyuma tupu! 😂😂
Kila enzi na nyakati zake.. Kipindi hicho najiunga JF kuna ma konki niliowakuta .. Aisee hao wakikutana kwenye mada hapatoshi
Hawa ndio walisababisha kuibuke nyuzi za makapuku forum na tupia chochote upate like
Nyakati zile zimepita na kutuachia kumbukumbuku mujarabu
Vp kuhusu haya maingizo mapya! Yana maajabu?😂
Nani ni nani kwenye nini?
Wataje/Mtaje ama
Waalike/Mualike..💪🏿💥
Hata zile couple mpya pia💕

- Mshana Jr
- nani nani na
- Replies: 966
- Forum: JF Chit-Chats