mwishowe niunguze makande yangu, kuni zinaniumiza macho hebu weka basii๐คฃhaya hesabu mpka ziro ๐ ๐ ๐
Napeleka wapi wahindi mimi?๐คhautaki mchumba auu๐
basi malizia kuepua kwanza๐mwishowe niunguze makande yangu, kuni zinaniumiza macho hebu weka basii๐คฃ
Sawa sawausicheze mbali sasa napita saivi ila nitakuita
vizuri mno kibabu sijui wewKibibi, siku yako imeendaje.
wewe ndio nimebandika mpaka saa nane huko, hebu pita!basi malizia kuepua kwanza๐
Apa safi atyvizuri mno kibabu sijui wew
asant mno kibabu,, ndugu yako selikavu hajambo?Apa safi aty
Pole na mishughuliko ya siku nzima.
Ujinga na nusu๐น๐น๐น Huyo anatakiwa kupewa kadi ya bank tu sio kufokewa..!!
Yuko anaugulia maumivu ya vidole baada ya shughuli nzito ya kumkaba Batistuta.asant mno kibabu,, ndugu yako selikavu hajambo?
hauna hata kaka? ๐๐คญ๐๐Dahh mtoto mrembo wewe! basi tu sikuzaliwa wa kiume ๐
yaaani๐๐ kalikua kamejibanzasilent killer๐คฃ