Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,545
- 7,624
Aisee! Hiyo unaweza wewe..!!Sina hatia Labella, sion sababu ya kujificha, mimi ni mtu huru.
Je unadhani jf ni salama sana? Kama kuna namna yeyote unavunja sheria ama uhalifu ni jambo la mda tu wakiamua kukupata
Unajua humu kuna watu tunaishi nao au tulisoma nao. Ukiselfika akakujua tayari inakua kamzozo..!! 😹