Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 3,545
- 7,624
Hauna nyingine hapo utupie 🥰Shukran mkuu 🙏 appreciate that😊
Mpo vizuri nyinyi mnafanya kwenye uzi tusikauke😃
Muendelee kutubariki 🔥
Tutakubariki mpaka ushangaeee tuko lelee leleee 😹
Hauna nyingine hapo utupie 🥰Shukran mkuu 🙏 appreciate that😊
Mpo vizuri nyinyi mnafanya kwenye uzi tusikauke😃
Muendelee kutubariki 🔥
Nilitaka kusema hii mikausho ya kikinga na kinyaki 😹😹😹Mkuu sifa ya wakinga ni ipi...,😃
Nilikuambia me ni half mkinga😃Genes zetu unazijua
Chupa moja ya ziada by Dizasta Vina 😃Jagermaster jagermaster
Dear gambeChupa moja ya ziada by Dizasta Vina 😃
😃😃😃Sijui Mungu aliweka nini hizo confidence sijui huwa zinatoka wap...Nilitaka kusema hii mikausho ya kikinga na kinyaki 😹😹😹
Hivi kwanini wakinga tunajiamini sana? 😹
Upo km Vunja bei kila kitu, Hivi ni kwamba muda wote mnafikiria pesa au? 😹
Acha basi kibibi 😂😂aiiiii Seran ShesRise_1 njoeni huku mmuone shemeji yenu mpya
uko vereeeee hensam aloooo kibabu changu ❤,, hii naked ni hot mpka napata wasiwasi usije ukaibiwa tu
uwiii hivi nimeandika nini,, jamni namaanisha mdogo wangu nimepagawa bwana😂😂😂😂😂Acha basi kibibi 😂😂
Huyu sio msukuma kweli 🤣🤣🤣aiiiii Seran ShesRise_1 njoeni huku mmuone shemeji yenu mpya
Aiseew unajua kuchagua! Au yeye ndio kakuchagua? Kifupi mmechaguana kwa kupendeleana sana😍🤸🏽♀️aiiiii Seran ShesRise_1 njoeni huku mmuone shemeji yenu mpya
Huibiwi na mtu mama’ake kila mtu anashikilia koloni lake humu🤭uko vereeeee hensam aloooo kibabu changu ❤,, hii naked ni hot mpka napata wasiwasi usije ukaibiwa tu
Kuwake familia🔥Dear gambe
Why msukuma!🤣Huyu sio msukuma kweli 🤣🤣🤣
Nasema ila naogopa
Hakuna wakuniiba ..uko vereeeee hensam aloooo kibabu changu ❤,, hii naked ni hot mpka napata wasiwasi usije ukaibiwa tu
Kupenda hakuhusiani na kuwa kipofu wa upumbavuHujapenda, siku ukipenda utatoa mwenyewe bila kuombwa..!!
Sina vimelea vya usukuma mkuuHuyu sio msukuma kweli 🤣🤣🤣
Nasema ila naogopa