ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Kwani wewe unakuaga wapiLD Mie nimepitwaaa, fanyaa kurudiaa Dear.
Kwani wewe unakuaga wapiLD Mie nimepitwaaa, fanyaa kurudiaa Dear.
Nimepita mpk nimechoka 😹leo sijakuona kabisa, hebu ruka basi pacha.
Cheki munjya ina comedy kidogo, au train to busan
Hapo chachaaa, 😂😂😂😂Mpuuzi yule mke wa Iyobo anaacha kuniface mwenyewe anajaza wengine maneno ya uongo 😹😹
Yeye apige battle na mimi ntu mbili na aseme anagombania nini kwanza..!
😂😂😂😂 kwa kweliii😹😹😹 Uduguu wangu mzoee tu!
Wewe sio mweusi una rangi ya chenza bhana..!!
Huyo mjukuu wako wapi mfyuuu..!!
Unatufanya watoto sasa..!! Kwa uzee gani ulionao? 😹
Pesa ipo washakua madoni hao😃Mapembelo, GNM wote watata wanashindana na silent ocean ya baba Riz moko..!! 😹😹
Halafu ukiwaona unakataa, kuna harusi moja hivi juzi kati hapo tulikiwasha wakinga. Pesa zilimwagwa km mvua GNM cargo alikuwa anaozesha..!!
Kabisa mkuu lazima kieleweka kwa namna yoyote ileLazima kieleweke🔥
😂😂😂😂 napitwaa na vitu vizuriii mie, Aloooh.😍😍😍😍
Igweeeeeeeee
Una sura nzuri mashallah 🤩
Umeolewa? Namuulizia kaka yangu apate jiko hili chap..!!
Sema sura yako haiendani na maandishi yako. Sura ya upole maneno sasa 😹😹
Pita pm apoBaaaasi 🙌😂
Angalia munjya au aparachit zote za kihindi.Nimepita mpk nimechoka 😹
Unazurura sana tatizo, ngoja nicheck km nitaipata 😹😹
Hizo movie zenye comedy ndo vitu vyangu..!!
Countdown Already started 🔥naombeni msilale kwanza nina jambo langu dakika 10 zijazo plzz
Jamani 🙈Shorii wa ambition, umeona kuna mtu kapinga?
Hapana 🙏 gudubaiEbu fanya upite hata pm
Pita pm apo
Mkuu chanel zinaeleweka lakini ama bado hapajaanza kutema?Kabisa mkuu lazima kieleweka kwa namna yoyote ile
Sijambo mkuuHujambo ShesRise_1
Aibu ya nini tena kichuna changu?Jamani 🙈
Hadi naona aibu acha bhasiii..!!
Ukirudia ni tag kakaUlikua haupo mkuu nimepita tayali na kama unavyojua jinsia yetu kuwa na picha nyingi uwongo nitaludia tena mida
Mzungu ni shapeless hadi sio poaa, afanye nimgawiee katako kanguu.View attachment 3602317jua la utosini
😹😹😹 Una case nyingi wewe leo!Khaaaah 😂😂😂😂
English figureMzungu ni shapeless hadi sio poaa, afanye nimgawiee katako kanguu.
😂😂😂😂
Hakuna neno mkuuUkirudia ni tag kaka