Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumbe kuna Hansard na hamsemi watu tunapita kavu tuuπŸ˜ƒ
Wee lini ulipita hapa, kazi ku zoom za wenzio tu.
Mxxxiiiieeew, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hansard zinabaki kwenye uzi hapa hapa. Lol
Hata msiogopeee.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jamaniii si mfanye kuwekaa.
Yaani mie kutokaa kidogo, watu wamefanya kufuru hapa ndani, hadi Kina Mshamba wamepita Naked.
Alooooo!! Nachokaa mimi, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mie ya mshamba nime inyaka dakk za jiniiii ipo kwenye gallery 🀣🀣🀣
 
Wee lini ulipita hapa, kazi ku zoom za wenzio tu.
Mxxxiiiieeew, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hansard zinabaki kwenye uzi hapa hapa. Lol
Hata msiogopeee.
πŸ˜ƒTatizo tunapishana me mwenyewe sijakubahatisha kitambo kwel...


Najitaid kupita siku hiziπŸ˜ƒ mara moja moja sio mbaya
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jamaniii si mfanye kuwekaa.
Yaani mie kutokaa kidogo, watu wamefanya kufuru hapa ndani, hadi Kina Mshamba wamepita Naked.
Alooooo!! Nachokaa mimi, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Leo watu wa me selfika aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…