G
guest-1790917349
Guest
Asante nilikuwa olive oil, mega,dr miracle....wote wanazingua now nipo T-treeHongera sana mamaake! Niliziona na juzi kw anyuma zimejaa sana! Tumia ya box naona huwa iko vizuri!
Ila ni gharama tunapambana hivyohivyo
