Fanya kile uliniahidi๐Nipo baby rasi๐
Una endeleaje chica, upo vizuriFanya kile uliniahidi๐
Leo sipo poa kiafya rasii, kikohozi mafua na baridi kali mno ,hivyo ahadi yangu bado inasimamaFanya kile uliniahidi๐
Naendelea vizuri, now nipo sawa kabisaUna endeleaje chica, upo vizuri
Polee sana Ras, Mungu akufanyie wepesiLeo sipo poa kiafya rasii, kikohozi mafua na baridi kali mno ,hivyo ahadi yangu bado inasimama
AminaPolee sana Ras, Mungu akufanyie wepesi
Jana nilifunga na kusali usiku mzima upone,Naendelea vizuri, now nipo sawa kabisa
Yanaishaje kirahisi hivyo nipo nawe mpaka useme ๐๐Dah! Asanane tena jamani si yalisha isha hayo tugange yajayo ๐
Unaongea na bingwa ujueYanaishaje kirahisi hivyo nipo nawe mpaka useme ๐๐
Halafu dosho na wewe huwa mnafanana tabia zenu jukwaaniYanaishaje kirahisi hivyo nipo nawe mpaka useme ๐๐
Onhoo jamani asante sana ๐๐,Jana nilifunga na kusali usiku mzima upone,
hivyo ukipona kabisa acha maagizo kwa mangi nichukue kinywaji nnachotaka bili juu yako
๐ ๐ usiniambie bingwa wa Bahati nasibu hebu kaa kwa kutulia asenaneUnaongea na bingwa ujue
Sasa si nimekesha nakuombea ๐Onhoo jamani asante sana ๐๐,
Ila asenane una mambo bill juu yangu tena? ๐๐
๐ ๐ ๐ we Ras una yako na yule Mangi mwenzako ulisema hivi hivi? Unafanyaga utafiti wapi?Halafu dosho na wewe huwa mnafanana tabia zenu jukwaani
Utabarikiwa na Bwana ๐Sasa si nimekesha nakuombea ๐