Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Waja hawaamini kama wema kazaa kwani sio mwanamke? Wivu tu unawasumbua.Hongera kwa kweli MUNGU amempa kicheko ππ
Ila waja wana mambo kila mtu na story yake basi tafrani π π π
Jamani ππππ, kuna meme nimeona inawachamba wanaume wa Dar
Wema hakupata mwanaume sahihi wa kumzalia. Ila kizazi anacho na alishawahi kutoa mimba ya Kanumba na Idrisa. Ss hivi angekuwa na mtoto yupo Advance au chuo sema hakuwa tayari kuitwa mama kwa muda ule.
Wanaume wa dar ndio wanaume bora Tanzania kwa kupiga mimba wanawake eti makaveli10 nasema uongo? πΉπΉπΉ
Walimsema mke wa pdidy (Mond) lakini kaunganisha East Africa ana watoto kote.