Selfika na JF: Snap it. Show it

Hongera kwa kweli MUNGU amempa kicheko 😍😊

Ila waja wana mambo kila mtu na story yake basi tafrani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Jamani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, kuna meme nimeona inawachamba wanaume wa Dar
Waja hawaamini kama wema kazaa kwani sio mwanamke? Wivu tu unawasumbua.

Wema hakupata mwanaume sahihi wa kumzalia. Ila kizazi anacho na alishawahi kutoa mimba ya Kanumba na Idrisa. Ss hivi angekuwa na mtoto yupo Advance au chuo sema hakuwa tayari kuitwa mama kwa muda ule.

Wanaume wa dar ndio wanaume bora Tanzania kwa kupiga mimba wanawake eti makaveli10 nasema uongo? 😹😹😹

Walimsema mke wa pdidy (Mond) lakini kaunganisha East Africa ana watoto kote.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ™Œila Lamo, nimekunyooshea mikono binti una maneno sanaπŸ˜‚πŸ˜‚

Asante kwa ufafanuzi 😊, maneno kidogo picha kwa Wingi πŸšΆβ€β™€οΈ
 
Niliwahi sema, huyo wema hajapata wa kumkojolea vizuri, mtu wa kukojoa, mzigo unatoka kama mate ya cobra..
Wanaobisha, waje tuwape mimba waoπŸ˜‚πŸ€£
 
Niliwahi sema, huyo wema hajapata wa kumkojolea vizuri, mtu wa kukojoa, mzigo unatoka kama mate ya cobra..
Wanaobisha, waje tuwape mimba waoπŸ˜‚πŸ€£
😹😹😹 Waje wapigwe vibend wanaume wa dar igweeeeeeeeeeeeee

Wanawake wa mkoani wakija dar wanagoma kuwarudia mabwana zao wa mikoani wanakomalia dar..!! Hivi kaka zetu mnawafanyaga nini? 😹

Halafu nyie ndo mmewafundisha kuwazamia uvinza wa shenzy sana..!! 😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…