Si ndioπbyorefoo onyinye ππ π
haya kujia shawa gel leo nimedevelop nimehama kwenye kazi nzito nzito uweeeh mwili upumzikeπ πSi ndioπ
weiiii huyu kaka π π π sikuwahi kujua kama unaongezaga chumvi kiasi hiki aseee,, mimi ni shamba gal huko daslam napaonaga kwenye TV tuKumbe win-one ni boss mkubwa hapo dasalama! Inabidi niwe nakuzingatia sana, maana nimeona na harrier anaconda imepaki pembeni hapo.
Wee tangu lini? Nikimaliza hii takuja kukuungisha!haya kujia shawa gel leo nimedevelop nimehama kwenye kazi nzito nzito uweeeh mwili upumzikeπ π
Tutakuchangia.naskia kelele tu ila kuselfika aaahππ nikiwapa location mtakuja kunichangia shower gel?
Sawa πTuna kikao leo Senegal anacheza πkuna muda utanikosa ukiniita
mambo niyapendayo haya ππ nitakupa na nyongeza ya panado kama pole kwa kutembeaππWee tangu lini? Nikimaliza hii takuja kukuungisha!
Afadhali ntakuwa naitumia nikiamka na hangoverπ«mambo niyapendayo haya ππ nitakupa na nyongeza ya panado kama pole kwa kutembeaππ
nitafurahi babu, ninazo ambazo zitakufaa kwa umri wako hazileti reaction yyte kwa wazeeTutakuchangia.
Unazo zipi?nitafurahi babu, ninazo ambazo zitakufaa kwa umri wako hazileti reaction yyte kwa wazee
Epuka kumeza meza madawa.Afadhali ntakuwa naitumia nikiamka na hangoverπ«
Shower gel gani ni nzuri kwa mtoto wa kike win-one yaani na una macho mazuri yakimahaba sana. Na ngozi ni zile za kikorea.weiiii huyu kaka π π π sikuwahi kujua kama unaongezaga chumvi kiasi hiki aseee,, mimi ni shamba gal huko daslam napaonaga kwenye TV tu
Kwanini mkuu?Epuka kumeza meza madawa.
ninayo pia πUnazo zipi?
Mie natumia hugva.
Uomeona?Pita bana nikuoneβΊοΈ
Sioni kitu@s
Uomeona?
hii meza unayotaka kutingisha inavinywaji vya bei, mbona unifukuzie mteja ππEpuka kumeza meza madawa.
Baasi bibi, mie mteja wako, natumia ile ya kijanininayo pia π
utaijia au nikuletee mwenyewe?Baasi bibi, mie mteja wako, natumia ile ya kijani