Sio kushangaa tu, Hutakiwi kuamini kabisa, hata km utaona picha yangu nimeshika chupa, itakuwa pozi la picha tu..ndo maana nikasema "nilitaka kushangaa" 😅
Rudia basi 🙇🏾🙇🏾hiii poker mbona nimetupia au ulikua umefumba macho? 😏
ulikua shift? haya tupia na mimi nirudie😚Rudia basi 🙇🏾🙇🏾
siwezi kuamini labda mpka nikunuse 😋Sio kushangaa tu, Hutakiwi kuamini kabisa, hata km utaona picha yangu nimeshika chupa, itakuwa pozi la picha tu..
Tumelud mapumziko saa saba tunaludi tena kazini😃😃Sawa 😅
Bora ningekua shift...ulikua shift? haya tupia na mimi nirudie😚
nikajua upo shift momyBora ningekua shift...
Nilikua nimezubaa tu 🤦🏾♀️🤦🏾♀️
Haya twende kazi kabla sijarudi kuzubaa 😁so beulifuuu
😋😋😋siwezi kuamini labda mpka nikunuse 😋
nilitupia hii😜Haya twende kazi kabla sijarudi kuzubaa 😁
Imenipitaje hii🥺nilitupia hii😜
ulipo pikicha macho tu na mimi nikapita shwaaa😅Imenipitaje hii🥺
ouky usijali mamilo uwepo tu karibu karibu 💃😚
Mwone🥺ulipo pikicha macho tu na mimi nikapita shwaaa😅
🙌😄😅 sahii ukiamshwa kama umepigwa na nyundo …… nitakushtua mida ya mapopoTumelud mapumziko saa saba tunaludi tena kazini😃😃
Isingekua njaa ningeendelea kulala 😃😃🙌😄😅 sahii ukiamshwa kama umepigwa na nyundo …… nitakushtua mida ya mapopo