Latent chaos
JF-Expert Member
- Jul 15, 2024
- 1,515
- 3,141
Imekaa 3secIko wapi
Imekaa 3secIko wapi
Nimeweka tena 30sec thoughImekaa 3sec
Hakuna kitu kama hicho huenda uko ndotoni, rudi ulale😅Nimeweka tena 30sec though
Haya 👍, good morning to you!Hakuna kitu kama hicho huenda uko ndotoni, rudi ulale😅
we ulikua wapi jana? nimejianika sana mwanetuSijaapenda!😏
Uongo, mimi nilikuwepo hapa kuanzia saa nne mpaka nane mbona sikukuona!😌we ulikua wapi jana? nimejianika sana mwanetu
Nianikie hapa namimi sikubali!we ulikua wapi jana? nimejianika sana mwanetu
Hicho kifua kikuu ni balaaa 😍😍😍😍
ngoj nifike nyumban kwanza ndo natoka kukesha, nitakuitaNianikie hapa namimi sikubali!
ngoj nifanye chap kabla watu hawajaamka usitokeniblessiwe sasa🤗
Sitoki niko radhi makande yaungue! 😀ngoj nifanye chap kabla watu hawajaamka usitoke
ili mle mkaa si ndiwoooo 😅😅😅Sitoki niko radhi makande yaungue! 😀
aww mtoto mkalii!nilijianika na hizi 😅
Ndio 🤣ili mle mkaa si ndiwoooo 😅😅😅
Wewee Mtoto huyo,nilijianika na hizi 😅
umeanza Walah😂😂😂 mi sitaki bwanaaww mtoto mkalii!