mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Yaani meku hako kadoti na vilipsi vimenifanya niwaze ujinga hapa kitandani.Kidoti karembo mno
Na vile nalala mwenyewe kama mbaoš¤£
Yaani meku hako kadoti na vilipsi vimenifanya niwaze ujinga hapa kitandani.Kidoti karembo mno
Nimeimiss kinoma! Nikiidaka narudi asubuhi ghetošKaribu pombe
Una kaumalaya kijana huogopi hata kuachiwa radhi wewe!š¤£Yaani meku hako kadoti na vilipsi vimenifanya niwaze ujinga hapa kitandani.
Na vile nalala mwenyewe kama mbaoš¤£
Jicho lake ndio lina balaa zaidi bwashee š akikuangalia unaweza sema anakutaka kumbe kawaida tuYaani meku hako kadoti na vilipsi vimenifanya niwaze ujinga hapa kitandani.
Na vile nalala mwenyewe kama mbaoš¤£
Umenikumbusha shule aisee nilitesekaš¤£Jicho lake ndio lina balaa zaidi bwashee š akikuangalia unaweza sema anakutaka kumbe kawaida tu
Dah siku hizi nakula makali kidogo tu nakaa mkao , tofauti na ma bia nilianza pata kitambišNimeimiss kinoma! Nikiidaka narudi asubuhi ghetoš
Jicho tamu sanašUmenikumbusha shule aisee nilitesekaš¤£
Mimi nimekuwa kifutu staki hata kujiona kwenye kiooš narudi zangu hard core aiseešDah siku hizi nakula makali kidogo tu nakaa mkao , tofauti na ma bia nilianza pata kitambiš
Unavyojua kunijaza sasa hebu mi nikalaze komwe jamanišJicho tamu sanaš
Dah nimepitwaThanks sana hommieš„°
Ni ukweli , mimi siwezi kusifia uongo aseešUnavyijua kunijaza sasa hebu mi nikalaze komwe jamaniš
Marudio jumamosišDah nimepitwa
Naelewa ba mnyoā basi poa.. we piga pombe zako frshy zitasoma kukicha!Ni ukweli , mimi siwezi kusifia uongo aseeš
Ntupie na mimi nione icho kidotiMarudio jumamosiš
Umekua kama chatu mmeza mbuzi siošMimi nimekuwa kifutu staki hata kujiona kwenye kiooš narudi zangu hard core aiseeš
Haha min anakuponza huyu!Ntupie na mimi nione icho kidoti
Na umbo la chura basi tafrani tupušš½āāļøUmekua kama chatu mmeza mbuzi sioš
Dah nilikua nakula vi Heinken, kila siku, nikaona kama kakitambi kanakuja nikashtuka snašNa umbo la chura basi tafrani tupušš½āāļø
Hamna bana kasema ukweli..Haha min anakuponza huyu!