Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Usiwaze napita uchiiii kabisa!Fanya hivyo la mamaš
Usiwaze napita uchiiii kabisa!Fanya hivyo la mamaš
Acha hizoooo weyeeee!!! Hebu fanya namna utubles kwanza long time hujaonekana selfika nafurahi kukuonaaa!!
Niko love nikisubirišUsiwaze napita uchiiii kabisa!
One time namalizia kitu hapa stay tunedNiko love nikisubiriš
Nimekaa kwa kutuliaāŗļøOne time namalizia kitu hapa stay tuned
Learned brother..Nyanga Makani Bob wa kuchemsha Dec 15,2018.View attachment 3650850
Wouuuzahā¤ļøLearned brother..
Umenivuruga where did u get that Nyanga makanišš½āāļøWouuuzahā¤ļø
Mgoogle tu Bob Makani.Learned brother..
Hiyo Nyanga Makani umetoa wapi? Nina mubaba wangu ana huu utambulisho šš½āāļø
Huyu wangu ni jina lakeš«¢Mgoogle tu Bob Makani.
Umenivuruga where did u get that Nyanga makanišš½āāļø
Mungu wangu š„ŗšš½āāļøKutokana na uhodari wake katika masomo, Mheshimiwa Bob Makani alifaulu na kupelekwa Chuo Kikuu Cha Makerere, wakati huo kikiwa ni Chuo Kikuu cha pekee Afrika Mashariki, ambako alifuzu na kupata Shahada ya Kwanza katika Uchumi (BA Economics).
Hakuridhika na shahada hiyo. Mwaka wa 1961 alikwenda Chuo Kikuu cha Liverpool, nchini Uingereza na 1965 akatunukiwa Shahada ya Sheria (LLB).
Vipi mbn mshangaooo?Mungu wangu š„ŗšš½āāļø
Tuishie hapa nitadhalilikaš«¢Vipi mbn mshangaooo?
Mi Sina hata uhusiano nae wowote huwa napenda tu kujifananisha naye.Tuishie hapa nitadhalilikaš«¢
Ndio ana ndugu yake huku baba mzima anaitwa hilo jina lake, sikuwahi kufuatilia historia š¤¦š½āāļøMi Sina hata uhusiano nae wowote huwa napenda tu kujifananisha naye.
Ccy tunasubiriaOne time namalizia kitu hapa stay tuned
šššWatu tunaukimbia uzee huku nyinyi mnaugombaniaš