Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Uzee mwanangu!!Mawino mengi sana madamš
Uzee mwanangu!!Mawino mengi sana madamš
Kila mtu utamfikia tu! Be free mrembošUzee mwanangu!!
Shida Sura imegoma kabisa kueditika hata niedit vipi ndomana nimekoleza sana winoKila mtu utamfikia tu! Be free mremboš
Unajibandika mafilter kama yotešShida Sura imegoma kabisa kueditika hata niedit vipi!
Filter yenyewe imegoma kabisa!! Noma sanaUnajibandika mafilter kama yoteš
š¹š¹š¹š¹ Si nikapitiwa na usingizi..!!ššš singo mamz kazi kwao kukiweka kwa maprosoo was JF Na baadae wana mwaga na kuwanyali juu.
Safariii hii lami watatambalia ulimii alooooh
Watu weweeeeeee!!! ššššš
Jamani chuma gani tena hiki? š»
ššš udugu una nini lakinii? Mbona uko nginja nginja sanaa??š¹š¹š¹š¹ Si nikapitiwa na usingizi..!!
Umbea huu sijui walinipiga kipaipai š¹
Single maza kanichekesha, hafu kumbe kila toto na baba ake..!! š¹
Ndiomana limewehuka linajichetua kama vuta bangi..!
Sasa bana nasikia kapinduliwa na udugu wake lina makasiriko, penzi liko lebu lebu na analitolea Siri zake zote mpaka kuuza papa telegram š¹š¹š¹
Udugu kumbe watu wana stress za child support š¹š¹š¹ššš udugu una nini lakinii? Mbona uko nginja nginja sanaa??
Sitii neno, šššUdugu kumbe watu wana stress za child support š¹š¹š¹
Nilitaka kushangaa kwa li mwili lile ka fuko la mawe linakosaje kuwa single mazaz š¹š¹
Ya mwisho šššJamani chuma gani tena hiki? š»
Em selfika full basi hatukukabi kaka mzuri..!! š¹š¹
Mamaa! mamaa! š»
Em njoo kabla sijapitiwa na usingizi š¹š¹Sitii neno, ššš
Tukutanee baadae.
mbona hii pic na ile ya mwanzo ni tofautiš¤View attachment 3672140
Huku selfika ndo kutakuwa home šš
Bora pichaš¤£š¤£ngoja na mimi nitafute insta nije kuwatupia humumbona hii pic na ile ya mwanzo ni tofautiš¤
au basi,, tupia nyingine tena
ile ulovaa shirt ya mikono mirefu ilikuziba muscles,, enweiiiii uko vere muhansam kaka RogersUpi utofauti ? View attachment 3672145
hapan ni yeye bwana sema niliona vibaya,,,Bora pichaš¤£š¤£ngoja na mimi nitafute insta nije kuwatupia humu